Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsvangirai Ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana. Baadaye Bwana Tsvangirai aliondoka kurejea nchini kwake.
 |
| Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia), akizungumza na Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsvangirai Ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana. Baadaye Bwana Tsvangirai aliondoka kurejea nchini kwake. (Picha zote na Freddy Maro) |
No comments:
Post a Comment