TANGAZO


Tuesday, August 7, 2012

Rais Kikwete ahudhuria mazishi ya Sheikh Mkuu wa kijiji cha Msata, Bagamoyo, mkoani Pwani


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akitoa pole kwa familia ya  marehemu mzee Rashid Kazinyingi, aliyekuwa Sheikhe Mkuu wa kijiji cha Msata, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, Jumatatu Agosti 6, 2012. Marehemu Mzee Kazinyingi, aliyefariki jana akiwa na umri wa miaka 88  pia alikuwa kada wa siku nyingi wa Chama Cha Mapinduzi.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akishiriki katika kumuombea dua  marehemu mzee Rashid Kazinyingi, aliyekuwa Sheikhe Mkuu wa kijiji cha Msata, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani Jumatatu Agosti 6, 2012. Marehemu Mzee Kazinyingi, aliyefariki jana  akiwa na umri wa miaka 88, pia alikuwa kada wa siku nyingi wa CCM.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu mzee Rashid Kazinyingi, aliyekuwa Sheikhe Mkuu wa kijiji cha Msata, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani Jumatatu Agosti 6, 2012. Marehemu mzee Kazinyingi, aliyefariki jana akiwa na umri wa miaka 88, pia alikuwa kada wa siku nyingi wa CCM. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment