Mke wa Rais wa Tanzania mama Salma Kikwete (wa pili kulia) akiwa kwenye mkutano wa wake wa Marais wa Wakuu wa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), akisikiliza mkutano wa kuzuia maambukizo ya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto na kulia ni mke wa Rais wa Zambia, Dk. Christine Kaseba Sata hapo jana, mjini Maputo.
Mke wa Rais wa Tanzania, mama Salma Kikwete (wa pili kulia), akiwa kwenye mkutano huo wa wake wa Marais wa Wakuu wa Nchi za Kusini mwa Afrika ( SADC ) jijini Maputo jana. Kulia ni mke wa Rais wa Zambia Dk. Christine Kaseba Sata, mjini Maputo jana.
Mke wa Rais wa Tanzania mama Salma Kikwete (wa pili kulia), akiwa kwenye mkutano huo wa wake wa Marais wa Wakuu wa Nchi za kusini mwa Afrika ( SADC ) akisikiliza mkutano wa kuzuia maambukizo ya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.
Mke wa Rais wa Tanzania mama Salma Kikwete (wa pili kulia), akiwa kwenye mkutano wa wake wa Marais wa Wakuu wa Nchi za kusini mwa Afrika ( SADC ), akisikiliza masuala mbalimbali kwenye mkutano huo jana. Kulia ni mke wa Rais wa Zambia, Dk. Christine Kaseba Sata.
Mke wa Rais wa Tanzania, Mama Salma KIkwete, akitoka nje ya ukumbi wa mkutano mara baada ya mapumziko ya mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), mjini Maputo –Msumbiji jana.
Mke wa Rais wa Tanzania, Mama Salma KIkwete, akitoka nje ya ukumbi wa mkutano mara baada ya mapumziko ya mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), mjini Maputo –Msumbiji jana. (Picha zote na Ikulu)
No comments:
Post a Comment