TANGAZO


Saturday, August 11, 2012

Mkutano wa CHDEMA Ruaha

Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Ruaha katika jimbo la Ulanga Mashariki mkoani Morogoro, wakinunua kadi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mara baada ya mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, ukiwa ni mwendelezo wa kampeni za Operesheni Sangara. 
Wakazi wa kijiji cha Ruaha katika jimbo la Ulanga Mashariki mkoani Morogoro, wakinunua kadi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA), mara baada ya mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu  Dk. Willibrod Slaa. 
Wakazi wa mji wa Lupiro, Jimbo la Ulanga Magharibi wakiitikia kibwagizo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) cha Poeples Power, wakati wa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na  Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, jana. (Picha na Joseph Senga)

No comments:

Post a Comment