Picha
tofauti zikimuonesha beki mpya wa Mabingwa wa Soka wa Kombe la Kagame,
Yanga, Mbuyi Twite akijifua na wenzake katika mazoezi ya kujiandaa na
Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Loyola jijini
Dar es Salaam leo.
Twite akipokea maelekezo kutoka kwa kocha wa Yanga Tom Saintfiet.
Twite
akipiga 'push-up' katika mazoezi yake ya kwanza akiwa na Yanga jijini
Dar es Salaam yaliyofanyika leo kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya
Loyola, Mabibo Dar es Salaam.
![]() |
| Twite akifanya mazoezi kwenye viwanja hivyo na wenzake. |







No comments:
Post a Comment