TANGAZO


Thursday, August 2, 2012

Mahojiano na Aminiel Johnson Mzava.Pauline Johnson Mzava na Pastor Faye Chandler Washington DC wakiongelea uvumbuzi wa nyimbo za Injili



  
Pauline Johnson Mzava (Kushoto) pamoja na Pastor Faye Pastor Faye Chandler, wakiimba nyimbo za injili ndani ya studio yao iliopo Washington DC.

Johnson Mzava akipata picha ya pamoja na mdhamini wa pendolake katikati pamoja na Pastor Faye Pastor Faye Chandler, wa kwanza kushoto pamoja na dogo Barack Johnson Mzava aliyebebwa

Johnson Mzava almarifu Aminiel, akizungumzia historia yake kwa ufupi, pamoja na uzinduzi wa Album ya nyimbo za Injili wakiwa pamoja na mdhamini wa pendo lake Pauline Johnson Mzava pamoja na pastor Faye Chandler jiji Washington DC Nchini Marekani  (Picha na http://swahilivilla.blogspot.com/)

No comments:

Post a Comment