3-Naibu Waziri wa Serikali za mitaa (TAMISEMI), Kassim Majaliwa, akijibu hoja za wabunge kwenye kikao hicho cha Bunge leo.
Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa, akiwa na Mbunge Diana Kilolo, wakati wa kikao cha Bunge leo asubuhi.
Mbunge Ole Sendeka (kulia), akijadili jambo na Mbunge Tundu Lissu, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
Mbune Ole Sendeka (kushotot), akijadili jambo na Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika leo mjini Dodoma wakati wa kikao cha Bunge.
Mbunge Ole Sendeka akiwasilisha hoja leo mjini Dodoma, wakati wa kikao cha Bunge mjini humo leo.
Naibu Waziri wa Fedha, Dk. Seif Rashid, akijadili jambo na Mbunge Zainab Vullu (kati) na Zarina Madabida (kushoto), wakati wa mapumziko kwenye viwanja vya Bunge, mjini Dodoma leo.
Wabunge Ole Sendeka (kulia), akiwa na Mbunge wa Singida, Tundu Lissu pamoja na Mbunge Juma Ngwali wa Jimbo Ziwani kisiwani Pemba leo. (Picha zote na Mwanakombo Jumaa- Maelezo)
No comments:
Post a Comment