TANGAZO


Sunday, July 29, 2012

Ufunguzi Mkutano mkuu maalum kumpata mgombea uwakilishi Jimbo la Bububu



Baadhi ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), waliohudhuria katika Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Kumpata Mgombea Uwakilishi Jimbo la Bububu kufuatia Kifo cha aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo,Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar. 




~Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Magharibi Yussuf Mohd Yussuf akitoa hotuba ya Kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Vuai Ali Vuai ili kufungua Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Kumpata Mgombea Uwakilishi Jimbo la Bububu kufuatia Kifo cha aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo,Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Vuai Ali Vuai akifafanua jambo wakati akitoa Hotuba yake ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Kumpata Mgombea Uwakilishi Jimbo la Bububu kufuatia Kifo cha aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo,Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar.


Naibu Katibu Mkuu wa CCM Vuai Ali Vuai akisisitiza jambo Baada ya kutolea Ufafanuzi masuala mbalimbali kupitia katiba ya Chama hicho yanayomtaka Mgombea ayasimamie kwa Uhakika huko katika Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Kumpata Mgombea Uwakilishi Jimbo la Bububu kufuatia Kifo cha aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo,Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar. (Picha zote na Othaman Maulid Othman wa ZanziNews Blog)

No comments:

Post a Comment