Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati
ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza, jana
Julai 12, 2012.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumzo na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama walipokutana jijini London, Uingereza jana Julai 12,
2012.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, akishiriki katika kikao maalumu cha maandalizi ya
mkutano wa Commonwealth Partnership for Technology Management (CPTM),
Makao Makuu ya CPTM, inayojiandaa kwa mkutano wake mkuu wa Global
2012, International Smart Partneship Dialogue unaotarajiwa kufanyika
mwezi Mei Mwakani, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Ikulu)
No comments:
Post a Comment