Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na viongozi na wawakilishi wa madhehebu mbalimbali ya dini walioshiriki katika futari aliyoiandaa kwa viongozi wa dini ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni. (Picha zote na Freddy Maro)
Rais Jakaya Kikwete, akiagana na baadhi ya viongozi wa dini, waumini pamoja na madhehebu mbalimbali ya dini nchini mara baada ya kuwaandalia futari Ikulu Dar es Salaam jana jioni. |
Rais Jakaya Kikwete, akiagana na baadhi ya viongozi hao wa dini pamoja na waumini mbalimbali ya dini nchini mara baada ya kuwaandalia futari Ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
No comments:
Post a Comment