Mwenyekiti Cathbert Nahonya, akisoma risala kwa Waziri wa Mali Asili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki (wa pili kushoto), wakati wa mahafali kuhayo. Kulia ni Mkuu wa chuo hicho Lowaeli Damalu.
Balozi Hamis Kagasheki, ambaye ni Waziri wa Mali Asili na Utalii, akimtunuku cheti mmoja wa wahtimu wa mafunzo ya askari wa wanyamapori katika ngazi ya Astashahada na Shahada.
Waziri wa Mali Asli na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki, akizungumza kabla ya kufunga mafunzo ya wahitimu wa kozi ya askari wa wanayamapori katika ngazi ya Astashahada na Stashahada jana. kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Paul Sarakikya .
Waziri wa Mali Asili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki (katikati) akiteta jambo la Mwenyekiti wa Bodi ya chuo cha Taasisi ya Wanyamapori cha Pasinsi Mwanza, Catbert Nahonya muda mfupi bada ya kufunga mafunzo kwa wahitimu 166 wa chuo hicho katika ngazi ya Stashahada na Astashahada jana.
Waziri wa Mali Asili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki, akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa mafunzo ya askari wa wanyamapori katika chuo cha taasisis hiyo cha Pasiansi Mwanza.
Balozi Hamis Kagasheki, aliyeshika magoti, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya askari wa wanyamapori katika ngazi ya Astashahada na Stashahada muda mfupi baada ya kuwakabidhi vyeti wahitimu 166 kwenye mahafali ya 47 ya chuo hicho. Wahimu 86 hawakupewa vyeti na wametakiwa kurudia mitihani baada ya kushindwa kufaulu. Kushoto kwa Kagasheki ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya wanyamapori, Paul Sarakikya na kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya chuo cha wanyamapori Pasiansi, Cathbert Nahonya. (Picha zote na Baltazar Mashaka, Mwanza)
No comments:
Post a Comment