TANGAZO


Monday, June 4, 2012

Airtel Supa5 yazinduliwa kwa kishindo mjini Morogoro

Msanii wa kundi la Mashujaa band, Charles Baba a.k.a Kingunge, wakiimba wakati kundi hilo lilipokuwa likiburudisha umati wa wakazi wa Morogoro, waliofurika uwanja wa Shule ya Msingi, Uwanja wa Ndege, kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya airtel Supa5, yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel. 


Sehemu ya umati wa wakazi wa Morogoro, uliofurika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege, kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya airtel Supa5, yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.


Mkazi wa Morogoro, Sarafina Millak, akikabidhiwa simu aina ya sumsung na Meneja Mauzo wa Airtel, Kanda ya Pwani, Aminata Keita, mara baada ya kuibuka kinara wa kucheza ‘sebene’ la bendi ya Mashujaa, wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Jiunge na Supa5, iliyofanyika leo, Uwanja wa Shule ya Msingi-Uwanja wa Ndege, mkoani Morogoro. Airtel Jiunge na Supa 5, ilizinduliwa kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Ukitaka kujiunga na huduma hiyo, unatakiwa kuandika  SMS YENYE NENO ‘WIKI’  AU WIKI na UTUME KWENDA 15548.


Meneja Mauzo wa Kampuni ya simu za mikononi ya Airtel-Morogoro, Aluta Kweka (kushoto), akimkabidhi simu aina ya sumsung mmoja wa wateja wa Airtel, Mbesa Baraka ikiwa ni sehemu ya zawadi mara baada ya kununua moderm mbili za Airtel 3.75G, wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Jiunge na Supa5, iliyofanyika leo Uwanja wa Shule ya Msingi-Uwanja wa Ndege, mkoani Morogoro. 


Wateja wa Airtel wakiwa na zawadi zao za simu aina ya Sumsung, mara baada kununua moderm za Airtel zenye kasi ya 3.75G. Kushoto ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya simu za mikononi ya Airtel-Morogoro, Aluta Kweka.


Msanii wakundi la Tip top Connection, lenye makazi yake Manzese jijini Dare es Salaam Madee akiimba jukwaani, wakati alipokuwa akiburudisha umati wa wakazi wa Morogoro waliofurika Uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya airtel Supa5

Msanii wa hip hop, ROMA akighani jukwaani kuburudisha umati wa wakazi wa Morogoro waliofurika Uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Supa5. 


Wasanii wa kundi la Mashujaa band, wakiongozwa na Raisi wa band hiyo, Charles Baba a.k.a Kingunge (katikati), wakizirudi ngoma za kundi hilo, mbele ya umati wa wakazi wa Morogoro waliofurika Uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege, kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel. (Picha zote na mdau wetu)

No comments:

Post a Comment