TANGAZO


Wednesday, June 20, 2012

Tume ya Mabadiliko ya Katiba yakutana na waandishi wa habari Zanzibar


Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu, Joseph Warioba, akisisitiza jambo katika mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar. (Picha zote na Yussuf Simai-Maelezo Zanzibar)

Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wakiwa katika mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari, uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar leo.

Baadhi ya Waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar, wakifuatilia kwa makini masuala mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa kwenye mkutano huo.

Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar, wakiwasikiliza viongozi waliokuwa wakizungumza kwenye mkutano huo leo, mjini Zanzibar.

Mwandishi wa habari kutoka Gazeti la Majira, Mwajuma Juma akiuliza maswali katika mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na waandishi wa habari, uliofanyika Bwawani Hotel Mjini Zanzibar.

Mwandishi wa habari kutoka Idara ya Habari Maelezo, akiuliza maswali katika mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na waandihsi wa habari, uliofanyika H oteliBwawani Mjini Zanzibar.


No comments:

Post a Comment