Baadhi ya viongozi wa Dini ya Kiislamu, Mashekhe na wananchi wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja, katika uzinduzi wa Shuhuli za Zakka Zanzibar, uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo.
Sheikh Khamis Abdulhamid, akitoa mawaidha juu ya umuhimu na wajibu wa kutoa Zakka, katika hafala ya uzinduzi wa shuhuli za Zakka Zanzibar katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo, uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein.
Baadhi ya viongozi wa kidini, Mashekhe na wananchi wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja katika uzinduzi wa Shuhuli za Zakka Zanzibar, uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo.
Kaimu Waziri wa Katiba na Sheria na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko, Alhaj Nassor Ahmed Mazrui, akisema machache na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, kuzindua shuhuli za Zakka Zanzibar, katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua shuhuli za Zakka Zanzibar katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar leo. Kushoto) ni Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na kulia ni Kaimu Waziri wa Katiba na Sheria na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Alhaj Nassor Ahmed Mazrui.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua shuhuli za Zakka Zanzibar katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar leo. Kushoto) ni Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na kulia ni Kaimu Waziri wa Katiba na Sheria na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Alhaj Nassor Ahmed Mazrui.
Baadhi ya Viongozi wa Kidini Mashekhe na wananchi wakisikiliza hotuba ya Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, wakati alipokuwa akizindua shughuli za Zakka katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo.
Baadhi ya akinamama waliohudhuria katika hafla ya uzinduziwa Shuhuli za zakka Zanzibar, wakisikiliza Nasaha zilizotolewa kwa waislamu mbali mbali wa Miji ya Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizindua Shuhuli za utoaji wa Zakka,katika ukumbi wa Salama bwawani Mjini Unguja leo. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu Zanzibar)
No comments:
Post a Comment