Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania, Amour Zakaria, aliyefika Ikulu mjini Zanzibar kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania, Amour Zakaria aliyefika Ikulu mjini Zanzibar kumuaga Rais, baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker, aliyefika Ikulu mjini Zanzibar, kujitambulisha kwa Rais.
No comments:
Post a Comment