Rais Jakaya Kiwete, akizungumza na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangala (kulia) pamoja na Uongozi wa Chama cha Riadha Tanzania (RT), Ikulu jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Ikulu)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Waziri pamoja na viongozi wa Chama hicho, alipokutana nao Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Riadha nchini William Kallaghe, Mkurugenzi wa Michezo, Thadei na kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Riadha Suleiman Nyambui.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiagana na Rais wa Kamati ya Olimpiki, Filbert Bayi baada ya kukutana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara na viongozi wa Chama cha Riadha alipokutana nao kwa mazungumzo na kupanga mikakati ya namna ya kufufua mchezo huo hapa nchini.
No comments:
Post a Comment