Warembo wanaoshiriki shindano la Miss Dar Inter Colloge 2012, wakipozi kwa picha wakati wa mazoezi yao yanayoendelea Hoteli ya Grand Villa, Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Shindano la kumsaka mnyange huyo, litafanyika Ijumaa Juni 22, 2012, Ukumbi wa Makumbusho jirani na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)
Warembo wanaoshiriki shindano la Miss Dar Inter Colloge 2012, wakifanya mazoezi ya wimbo wao wa kufungulia shindano, wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika Hoteli ya Grand Villa Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment