Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal (kulia), akisikiliza maelezo kuhusu ujenzi wa Nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kutoka kwa Ofisa Masoko wa Shirika hilo, Mariam Ndabagenda, wakati Makamu alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonyesho ya kwanza ya Sekta ya Nyumba (Tanzania Homes Expro 2012), yaliyofanyika leo Juni 10, katika Viwanja vya Mlimani City Mwenge jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Mauzo wa Shirika hilo, William Genya (wa pili kulia) ni Ofisa Mauzo Mwandamizi wa Shirika hilo, Emmanuel Lyimo. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR)
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu rangi mbalimabli zinazotegenezwa na Kampuni ya Insignia Ltd, inayotengeneza Galaxy paints kwa ajili ya nyumba na magari, kutoka kwa Ofisa Masoko wa kampuni hiyo, Obed Machoka, wakati Makamu alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho ya kwanza ya Sekta ya Nyumba ya 'Tanzania Homes Expro 2012', yaliyofanyika leo Juni 10 katika Viwanja vya Mlimani City Mwenge jijini Dar es Salaam, wakati akiyafunga.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisiliza maelezo kuhusu ujenzi wa Nyumba 220, zilizojengwa na kuendelea kujengwa eneo la Jangwani Beach, maeneo ya Kunduchi jijini Dar es Salaam, zinazotarajia kutumia jumla ya Sh. bilioni 208, kutoka kwa Ofisa Mtendaji wa Kampuni ya Global Land Solutions Ltd, Murtaza Adamjee, wakati Makamu alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonyesho ya sekta ya Nyumba ya 'Tanzania Homes Expro 2012', yaliyofanyika leo Juni 10 katika Viwanja vya Mlimani City Mwenge jijini Dar es Salaam, wakati akiyafunga.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia kijarida huku akisiliza maelezo kuhusu ujenzi wa Nyumba 220, zilizojengwa na kuendelea kujengwa eneo la Jangwani Beach, maeneo ya Kunduchi jijini Dar es Salaam, zinazotarajia kutumia jumla ya Sh. bilioni 208, kutoka kwa Ofisa Mtendaji wa Kampuni ya Global Land Solutions Ltd, Murtaza Adamjee, wakati Makamu alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonyesho ya sekta ya Nyumba ya 'Tanzania Homes Expro 2012', yaliyofanyika leo Juni 10 katika Viwanja vya Mlimani City Mwenge jijini Dar es Salaam, wakati akiyafunga. (Picha na Kassim Mbarouk)
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisiliza maelezo kuhusu matumizi ya nyaya za Africab kutoka kwa Ofisa Masoko na Mauzo wa Kampuni hiyo, Khuzema Janowalla, wakati Makamu alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho ya kwanza ya sekta ya nyumba ya 'Tanzania Homes Expro 2012', wakati akiyafunga leo Juni 10 katika Viwanja vya Mlimani City Mwenge jijini Dar es Salaam. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR)
No comments:
Post a Comment