TANGAZO


Tuesday, June 19, 2012

Majaji 10 wapya wa Mahakama Kuu walioapishwa na Rais Kikwete, Dar es Salaam leo

Jaji wa Mahakama Kuu Francis Mutungi, wakati alipokuwa akisubiri kuapishwa pamoja na wenzake wanaofuata chini na Rais Jakaya Kikwete, Ikulu Dar es Salaam leo. 
Jaji wa Mahakama Kuu,  John Mgetta
Jaji wa Mahakama Kuu, Patricia Fikirini
Jaji wa Mahakama Kuu, Sam Rumanyika
Jaji wa Mahakama Kuu, Salvatory Bongole 
Jaji wa Mahakama Kuu, Gerald Ndika
Jaji wa Mahakama Kuu, Mathew Mwaimu 
Jaji wa Mahakama Kuu, Jacob Mwambegele
Jaji wa Mahakama Kuu, Joaquine De-Mello

Jaji wa Mahakama Kuu, Latifa Mansoor

No comments:

Post a Comment