Redds Miss Tanzania, Lisa Jensen ambaye atawaiwakilisha Tanzania katika shindano la Miss World 2012, akiwa amepozi kwa picha mara baada ya kuvishwa taji hilo katika shindano lilofanyika katika ukumbi wa 327 Mikocheni jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.
Redds Miss Tanzania, Lisa Jensen, akiwapungia watazamaji akiwa na Miss Tanzania 2011, Salha Israel (kushoto), wakati wa shindano hilo usiku wa kuamkia leo.
Redds Miss World akitoa mada wakati wa shindano hilo.
Washiriki walioingia katika hatua za tano bora, wakipozi baada ya kutajwa na majaji kuingia kwenye hatua hiyo. (Picha zote na Francisdande blogspot)
No comments:
Post a Comment