TANGAZO


Thursday, June 14, 2012

Bungeni Dodoma Leo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza swali kutoka kwa  kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni Mjini Dodoma Juni 14, 2012.
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowasa akizungumza na Mbunge wa Vunjo, Augustine Lyatonga Mrema. Anayeshuhudia ni Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wanachuo wa Chuo cha Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa cha Hombolo, Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Juni 14, 2012.

Mbunge wa Sengerema., William Ngeleja (kushoto), akizungumza na Waziri Mkuu Mizengo Pinda  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 14, 2012.
 
Waziri Mkuu, MizengoPinda akizungumza na Mbunge wa Sengerema., William Ngeleja kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 14, 2012. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment