TANGAZO


Saturday, June 23, 2012

Bondia Francis Miyeyusho amtwanga Mmalawi John Masamba


Bondia Rashidi Ali (kushoto), akioneshana kazi na Amnos Mwamakula wakati wa mpambano wao jana.



Bondia Obote Ameme (kulia), akioneshana kazi na Cosmas Cheka.



Bondia Miyayusho akisikiliza wimbo wa taifa wakati wa kuimba nyimbo za Mataifa mawili ya Tanzania na Malawi wakati wa mpambano huo jana.



Bondia John Masamba (kushoto), kutoka Malawi akioneshana ufundi wa kutupa masumbwi na Francis Miyeyusho wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es Salaam jana. 

Bondia Francis Miyeyusho (kushoto), akimshambulia bondia kutoka Malawi, John Masamba wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es Salaam jana. Miyayusho alishinda kwa K.O  ya raundi ya 5. (Picha zote na Super D, Mnyamwezi)

No comments:

Post a Comment