amekutana na kuagana na Robert Orr, Balozi wa Canada nchini, anayemaliza muda wake wa uwakilishi nchini.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimueleza jambo Balozi wa Canada, anayemaliza muda wake nchini, Robert Orr, wakati Balozi huyo, alipomtembelea Rais Ikulu jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya mazungumzo na kumuaga.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimuaga Balozi wa Canada, anayemaliza muda wake nchini, Robert Orr, wakati Balozi huyo, alipomtembelea Rais Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo na kumuaga. (Picha zote na IKULU)
No comments:
Post a Comment