Meneja wa Bia ya Serengeti Premium Lager, Allan Chonjo, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati wa kutangaza washindi wa Promosheni ya Vumbua Hazina Chini ya Kizibo, inayoendesha na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), kupitia bia zake za Tusker Lager, Pilsner Lager na Serengeti Lager. Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa Kampuni ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda. (Picha na Mpigapicha wetu)
Meneja wa Bia ya Serengeti Premium Lager, Allan Chonjo, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati wa kutangaza washindi wa Promosheni ya Vumbua Hazina Chini ya Kizibo, inayoendesha na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), kupitia bia zake za Tusker Lager, Pilsner Lager na Serengeti Lager. Kutoka kulia ni Meneja wa bia ya Tusker, Ritha Mchaki, Mrisho Millao, kutoka Shirika la Bahati Nasibu ya Taifa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa Kampuni ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda.



No comments:
Post a Comment