| Kaimu Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania Johanes Kahatano , akizungumza na waandishi wa habari, baada ya uzinduzi wa tairi hizo, zenye ubora na madhubuti. |
| Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Super doll, Seif Seif (kulia) na Kaimu Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama barabarani, Kahatano wakiwa na sanamu ya Michellin, iliyoshikilia aina ya tairi hizo. |
| Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Kampuni ya Super doll, Ibrahim Juma, akitoa shukrani kwa waandishi wa habari baada ya hafla hiyo kumalizika. |
| Sanamu ya Michellin, inayotumiwa na Kampuni ya kutengeneza matairi ya gari, ambayo Kampuni ya Super doll, ni wakala wake nchini. |
| Mkurugenzi Mtendaji wa Super doll, akifungua pazia ili kuzindua rasmi tairi hizo aina ya Michelin Energy XM2, jijini leo. |
| Freddi akielezea umadhubuti wa tairi hizo |

No comments:
Post a Comment