TANGAZO


Friday, May 4, 2012

Rais Kikwete atangaza Baraza jipya la Mawaziri


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na waandishi wa habari, wakati alipokuwa akilitangaza Baraza jipya la Mawaziri Ikulu, jijini Dar es Salaa, leo April 4, 2012. (PIicha na IKULU)


Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini, wakinukuu Baraza jipya la Mawaziri, wakati Rais Jakaya Kikwete, alipokuwa akilitangaza leo mchana. (Picha na Mpigapicha wetu)

Wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari, wakichukua picha wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilitangaza Baraza jipya la Mawaziri leo jijini. 


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wake Dk Mohamed Gharib Bilali (kushoto) na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kutangaza Baraza la Mawaziri leo April 4, 2012. 

No comments:

Post a Comment