Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk.Jakaya Kikweete, akifungua Semina maalumu kwa viongozi wa ngazi za juu wa CCM katika ukumbi wa White House jijini Dodoma leo asubuhi. Wengine katika picha kutoka kushoto ni Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Rais Mstaafu wa Zanzibar amabye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar Amani Abeid Karume,Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Pius Msekwa. (Picha na Freddy Maro)
Baadhi ya viongozi wa ngazi za juu wa CCM, wakihudhuria semina maalumu katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo.
Baadhi ya viongozi wa ngazi za juu wa Chama hicho, wakifuatilia maelezo mbalimabli yaliyokuwa yakitolewa kwenye semina hiyo, iliyokuwa ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Rais Dk.Jakaya Kikwete.
Baadhi ya viongozi wa ngazi za juu wa CCM, wakiwa kwenye semina maalumu, ukumbi wa White House mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiteta jambo na Katibu Mkuu wake,
Wilson Mukama kabla ya kufngua semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya
Taifa ya Chama hicho, jijini Dodoma.
Washiriki wa Semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM,
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye (kuahoto), Kingunge Ngombale
-Mwiru (katikati) na Peter Kisumo, wakiteta katika semina ya wajumbe wa
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment