Wauguzi wa Taasisi ya Moi, wakiwasha mishumaa kwa ajili ya kusherehekea maadhimisho ya Siku yao, Dar es Salaam jana.
Wauguzi wa Moi, wakiwa na mishumaa kwa ajili ya kushrehekea maadhimisho ya Siku ya wauguzi duniani kwenye taasisi hiyo jana.
Baadhi ya wauguzi wa Taasisi ya Moi, wakila kiapo cha utiifu katika kazi, wakati wakiadhimisha Siku ya wauguzi duniani, Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment