TANGAZO


Monday, May 7, 2012

Mkutano wa Jumuiya ya Madola, waendelea jijini Dar es Salaam



Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilson Mukama, akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano wa Jumuiya ya Madola, unaofanyika jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Super D, Mnyamqwezi)


Mbunge wa Jimbo la Ubungo, jijini Dar es Salaam, John Mnyika, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa Jumuiya ya Madola, unaojadili masuala mbalimbali ya Bunge, Serikali pamoja na Vyama vya Siasa.
Mgeni Mwalikwa katika Mkutano wa Jumuiya ya Madola, aliyekuwa Rais wa Ghana, Jerry Rawlings (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo katika mkutano wa Jumuiya ya Madola kujadili masuala ya Bunge, Serikali pamoja na Vyama vya Siasa.

Mgeni Mwalikwa katika Mkutano wa Jumuiya ya Madola, aliyekuwa Rais wa Ghana, Jerry Rawlings (kushoto), akijadili jambo na baadhi ya viongozi pamoja na wajumbe wa mkutano huo, jijini Dar es Salaam leo.


Mgeni Mwalikwa katika Mkutano wa Jumuiya ya Madola, aliyekuwa Rais wa Ghana, Jerry Rawlings (wa pili kushoto), akipiga picha ya kumbukumbu na baadhi ya viongozi na wajumbe wa  mkutano huo, jijini Dar es Salaam leo.


No comments:

Post a Comment