Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa (katikati), akiongozwa kuelekea kwenye chumba cha Mahakama ya Kisutu, ilikokuwa ikiendelea kesi ya Ubadhirifu wa fedha za Umma, inayomkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Itali, Profesa Mahalu, kwa ajili ya kwenda kutoa ushahidi katika kesi hiyo, jijini Dar es Salaam leo asubuhi. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, akielekea kwenye chumba cha Mahakama ya Kisutu, ilikokuwa ikiendelea kesi ya Ubadhirifu wa fedha za Umma, inayomkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Itali, Profesa Mahalu kwa ajili ya kwenda kutoa ushahidi katika kesi hiyo.
Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, akitoka Mahakama ya Kisutu, baada ya kutoa ushahidi wake katika kesi hiyo, inayomkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Itali, Profesa Mahalu, jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa (katikati), akiongozwa kuelekea kwenye gari lake baad ya kutoa ushahidi Mahakama ya Kisutu, katika kesi inayomkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Itali, Profesa Mahalu, jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Profesa Mahalu akitoka kwenye Mahakama ya Kisutu, baada ya kuahirishwa kesi inayomkabili, ambapo leo Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, alifika mahakamani hapo kutoa ushahidi wake.
Profesa Mahalu, akisalimiana na jamaa yake wakati alipokuwa akitoka kwenye Mahakama ya Kisutu, baada ya kuahirishwa kesi inayomkabili, ambapo leo Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, alifika mahakamani hapo kutoa ushahidi wake.







No comments:
Post a Comment