Mshatakiwa katika kesi ya mauaji ya msanii wa maigizo nchini Steven Kanumba, Elizabeth Michael 'Lulu', akiongozwa na Askari Magereza, kwenda kwenye chumba cha Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusomewa mashata hayo leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Mshatakiwa katika kesi ya mauaji ya msanii wa maigizo nchini Steven Kanumba, Elizabeth Michael 'Lulu', akiongozwa na Askari Magereza, kutoka nje ya Mahakama ya Kisutu, baada ya kusomewa kesi yake katika mashata hayo leo.
Mshatakiwa katika kesi ya mauaji ya msanii wa maigizo nchini Steven Kanumba, Elizabeth Michael 'Lulu', akiongozwa na Askari Magereza, kutoka nje ya Mahakama ya Kisutu, kuelekea kwenye gari la mahabusu, baada ya kusomewa kesi yake katika mashata hayo yanayomkabili.




No comments:
Post a Comment