TANGAZO


Tuesday, May 1, 2012

Matokeo Kidato cha Sita yatangazwa

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Dk. Joyce Ndalichako, akitangaza matokeo ya Kidato cha Sita kwa Shule zote za Sekondari nchini leo, ambapo Shule ya Sekondari ya Marian Girls ya Bwagamaoyo inaongoza matokeo hayo. (Picha na Mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment