TANGAZO


Wednesday, May 30, 2012

Maadhimisho ya Siku ya kutokutumia Tumbaku Duniani kesho

Mkurugenzi wa Chama cha Kudhibiti Matumizi ya Tumbaku Tanzania (TTCF), Lutgard Kagaruki, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kutokutumia Tumbaku Duniani, yatakayofanyika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam kesho. Kushoto ni Mratibu wa Vijana wa TTCF, Suma Mwaitenda. (Picha zote na Kassim Mbarouk)

Mkurugenzi wa Chama cha Kudhibiti Matumizi ya Tumbaku Tanzania (TTCF), Lutgard Kagaruki, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kutokutumia Tumbaku Duniani, yatakayofanyika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam kesho. Kushoto ni Mratibu wa Vijana wa TTCF, Suma Mwaitenda.

Mmoja wa waandishi wa habari, akimuuliza swali Mkurugenzi wa Chama cha Kudhibiti Matumizi ya Tumbaku Tanzania (TTCF), Lutgard Kagaruki, kwa ajili ya kutaka ufafanuzi wa sula la matumizi na athari za tambaku kwa mtumiaji, wakati alikuwa akizungumza nao, kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kutokutumia Tumbaku Duniani, yatakayofanyika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam kesho.

Mkurugenzi wa Chama cha Kudhibiti Matumizi ya Tumbaku Tanzania (TTCF), Lutgard Kagaruki, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akizungumza nao kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kutokutumia Tumbaku Duniani, itakayoadhimishwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam kesho. Katikati ni Mratibu wa Vijana wa TTCF, Suma Mwaitenda. Kushoto ni Ofisa Habari Mkuu wa Idara ya Habari, Maelezo, Mwirabi Sise.

Baadhi ya waandishi wa habari, wakifuatili na kunakili maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Kudhibiti Matumizi ya Tumbaku Tanzania (TTCF), Lutgard Kagaruki, wakati alipokuwa akizungumza nao, Dar es Salaam leo, kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kutokutumia Tumbaku Duniani, yatakayofanyika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, jijini kesho.

Waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Chama cha Kudhibiti Matumizi ya Tumbaku Tanzania (TTCF), Lutgard Kagaruki, wakati alipokuwa akizungumza nao, Dar es Salaam leo, kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kutokutumia Tumbaku Duniani, yatakayofanyika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, jijini kesho.

No comments:

Post a Comment