Mtangazaji Daniel Kijo, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati wa uzinduzi mpya wa kipindi cha MINIBUZZ - Toa hoja, kinachorushwa na Televisheni ya Taifa ya TBC1, ambacho zamani kikijulikana kwa jina la DALADALA. Wengine pichani ni watangazaji wa kipindi hicho, mchekeshaji Christina Mbunda 'Bi. Kiroboto' na Tumaini Meshack. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Mtangazaji Daniel Kijo, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati wa uzinduzi mpya wa kipindi cha MINIBUZZ - Toa hoja, kinachorushwa na Televisheni ya Taifa ya TBC1, ambacho zamani kikijulikana kwa jina la DALADALA. Wengine pichani , kushoto ni Mtayarishaji Mkuu wa kipindi Mark Zuckerman na kulia ni mtangazaji wa kipindi hicho, mchekeshaji Christina Mbunda 'Bi. Kiroboto'.
Mtangazaji Daniel Kijo, akionesha moja ya chapisho, linalotangaza kipindi hicho, wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusiana na uzinduzi mpya wa kipindi cha MINIBUZZ - Toa hoja, kinachorushwa na Televisheni ya Taifa ya TBC1, ambacho zamani kikijulikana kwa jina la DALADALA. Kushoto ni Mtayarishaji Mkuu wa kipindi hicho, Mark Zuckerman.
Mtangazaji Daniel Kijo, akionesha moja ya stika zenye kukitangaza kipindi hicho, wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusiana na uzinduzi mpya wa kipindi cha MINIBUZZ - Toa hoja, kinachorushwa na Televisheni ya Taifa ya TBC1, ambacho zamani kikijulikana kwa jina la DALADALA. Kushoto ni Mtayarishaji Mkuu wa kipindi, Mark Zuckerman.
Mtangazaji Daniel Kijo, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati wa uzinduzi mpya wa kipindi cha MINIBUZZ - Toa hoja, kinachorushwa na Televisheni ya Taifa ya TBC1, ambacho zamani kikijulikana kwa jina la DALADALA. Wengine pichani kushoto ni Mtayarishaji Mkuu wa kipindi, Mark Zuckerman na kulia ni mtangazaji wa kipindi, mchekeshaji Christina Mbunda 'Bi. Kiroboto'.
Mtangazaji wa kipindi hicho, mchekeshaji Christina Mbunda 'Bi. Kiroboto', akielezea jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi mpya wa kipindi cha MINIBUZZ - Toa hoja, kinachorushwa na Televisheni ya Taifa ya TBC1, ambacho zamani kikijulikana kwa jina la DALADALA. Wengine pichani, kushoto ni Mtayarishaji Mkuu wa kipindi, Mark Zuckerman na mtangazaji wa kipindi hicho, Daniel Kijo.
Mtangazaji Daniel Kijo, akiwaonesha waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, maandishi yaliyochapishwa kwenye gari la kutayarishia kipindi cha MINIBUZZ - Toa hoja, kinachorushwa na Televisheni ya Taifa ya TBC1, ambacho zamani kikijulikana kwa jina la DALADALA, wakati wa kukizindua upya kipindi hicho. Wengine pichani kulia kwa Kijo ni watangazaji wa kipindi hicho, mchekeshaji Christina Mbunda 'Bi. Kiroboto' na Tumaini Meshack.
Mtangazaji Daniel Kijo (kulia), akijitayarisha kupanda gari la kutayarishia kipindi hicho, pamoja na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali waliohudhuria uzinduzi huo, Dar es Salaam leo, maeneo ya Mikocheni kwa ajili ya kutayarisha kipindi cha kwanza cha uzinduzi wa MINIBUZZ - Toa hoja, kinachorushwa na Televisheni ya Taifa ya TBC1, ambacho zamani kikijulikana kwa jina la DALADALA.
Watangazaji Daniel Kijo (katikati), akiwa na mtangazaji, mchekeshaji Christina Mbunda 'Bi. Kiroboto' (kulia) na Tumaini Meshack, wakionesha dole gumba, nyuma ya gari la kutayarishia kipindi cha MINIBUZZ-Toa hoja, kuashiria uzinduzi huo mpya kukamilika wa kipindi hicho.
No comments:
Post a Comment