TANGAZO


Wednesday, May 16, 2012

Dk. Mponda akabidhi Ofisi kwa Waziri mpya, Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Mwinyi


 Waziri wa zamani wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hadji Mponda akimkabidhi Kitabu cha Sheria na Mwongozo wa kazi wa Wizara hiyo, Waziri Mpya  Dk. Hussein Mwinyi, wakati wa makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Wizarani hapo leo.

Waziri aliyepita Hadji Mponda (kushoto), akipeana mkono na Waziri mpya wa Wizara hiyo, Dk. Husseim Mwinyi,  mara baada ya makabidhiano hayo. Dk. Mponda amemtaka Waziri Dk. Mwinyi, kufuatilia na kusimamia vyema  utekelezaji wa  mikakati ya Sekta ya Afya, ili kuweza kuimarisha huduma hiyo kwa wananchi.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Hussein Mwinyi (aliyekaa katikati), akiwa na Waziri aliyepita (wazamani), Dk. Hadji Mponda (kulia) na Naibu Waziri Mpya, Dk. Seif Rashid (kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na Watendaji wa Wizara hiyo, mara baada ya makabidhiano hayo ya Ofisi leo. 

No comments:

Post a Comment