Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbles Lema, ambaye alikuwa Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mtiniko, Mtwara Vijijini, katika mkutano wa hadhara wa chama hicho jana.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbles Lema, akiongozana na mlemavu wa macho, mzee Sajali Mkumbo, ambaye aliwahi kugombea udiwani katika Kata ya Mtiniko mwaka 2000, kupitia chama hicho, wakielekea kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho katika kijiji cha Mtiniko Mtwara Vijijini jana.
No comments:
Post a Comment