Anastazia Gura akimalizia kuonesa mavazi ya gwiji huyo wa Afrika Kusini ambapo alipita na wanamitindo wengine.
Mwanamitindo mahiri Millen Magese akiwapungia mkono washabiki wake waliokuwa wakimshangilia wakati akiingiaa katika onesho hilo la mavazi ya Afrika Kusini.
Wabunifu wa mavazi
wa Tanzania wakiwa wamepozi katika picha pamoja na Olive Clandle muda mfupi
baada ya kumalizika kwa onesho la mbunifu huyo.
Mwanamitindo ambae
matunda yake yameanza kuonekana mapema Anastazia Gura akitengenezwa nywele
kabla ya kupanda jukwaani.
Mbunifu mkubwa wa
mavazi ndani na nje ya Afrika Kusini Olive Clandle akimshangaa mwanamitindo
mwingine wa Tanzania Victoria Casmir ambapo pia alishangaa kwa nini hakumuona
na kumtumia katika onesho lake, mbunifu huyo alimtumia mwanamitindo mwingine
aitwae Anastazia Gura.
No comments:
Post a Comment