TANGAZO


Monday, April 30, 2012

Wana - CUF Tanga wajitokeza kwa wingi, kumpokea Rais Kikwete, tayari kwa Sherehe za Mei Mosi

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mamia ya wakaazi wa jiji la Tanga, waliokuwa wamebeba bendera za Chama cha Wananchi (CUF), leo April 30, 2012, waliofika Uwanja wa ndege kumpokea, baada ya kuwasili kwa ajili ya kuwa mgeni rasmi kesho katika sherehe za Mei Mosi. (Picha zote na IKULU)






 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakaazi hao, waliobeba bendera za Chama cha CUF, Uwanjani hapo, alipowasilia jijini humo leo kwa ajili ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei Dei), inayoadhimishwa kesho jijini humo.




 Wanachama wa CUF, wakimpokea kwa furaha, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, alipowasili Uwanja wa ndege, jijini Tanga, tayari kwa kuwa mgeni rasmi wa Sherehe za Siku ya Wafanyakazi duniani, Mei Dei, inayoadhimishwa kesho jijini humo.




 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya mamia ya wakaazi wa jiji la Tanga leo April 30, 2012, baada ya kuwasili Uwanja wa ndege, jijini Tanga, kuwa mgeni rasmi kesho katika sherehe za Mei Mosi.









No comments:

Post a Comment