Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazara la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shei, aambaye pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, akifunua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi wa tawi la CCM Matungu Changamka, katika kijiji cha Vitongoji Kusini Pemba, alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama. (Picha na Ramadhan Othman, Pemba)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazara la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, akifuatana na viongozi wa CCM Mkoa wa kusini Pemba mara baada ya kuliwekea jiwe la msingi Tawi la CCM Matungu Changamka, katika kijiji cha Vitongoji Kusini Pemba, alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazara la Mapinduzi,Dk.AliMohamed Shein,na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,akimkabidhi kadi ya uanachama wa CCM Safia Haji Ali, wakati wa Sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Tawi la CCM Matungu Changamka, katika kijiji cha Vitongoji Kusini Pemba, alipokua katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi leo. [Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazara la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, akimkabidhi kadi ya uanachama wa UVCCM, Hafidh Rashid Juma, wakati wa Sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Tawi la CCM Matungu Changamka, katika kijiji cha Vitongoji Kusini Pemba, alipokua katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi leo.
No comments:
Post a Comment