TANGAZO


Saturday, April 21, 2012

Dk Shein afanya Mkutano wa majumuisho ya ziara

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazara la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi, Mkoa wa Kusini Pemba katika mkutano wa majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa huo kuangalia maendeleo ya sekta mbali mbali za kijamii. Mkutano huo umefanyika leo katika ukumbi wa Chuo cha Amali Vitongoji. Kulia ni Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko, Nassor Ahmed Mazrui na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Juma KassimTindwa. (Picha na Ramadhan Othman,Pemba)



Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wa Mkoa wa Kusini Pemba, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazara la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na viongozi hao katika mkutano wa majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa huo kuangalia maendeleo ya sekta mbali mbali za kijamii. Mkutano huo umefanyinyika leo katika ukumbi wa Chuo cha Amali Vitongoji, Mkoa wa Kusini Pemba.
Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wa Mkoa wa Kusini Pemba, wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazara la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na viongozi hao katika mkutano wa majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa huo kuangalia maendeleo ya sekta mbali mbali za kijamii. Mkutano huo umefanyinyika leo katika ukumbi wa Chuo cha Amali Vitongoji, Mkoa wa Kusini Pemba. (Picha na Ramadhan Othman,Pemba)



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bazara la Mapinduzi,Dk.AliMohamed Shein,akizungumzana Viongozi wa Serikali ya
Mapinduzi katika Mkoa wa Kusini Pemba katika mkutano wa majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa huo kuangalia maendeleo ya  ekta mbali mbali za kijamii,mkutano huo ulifanyika jana katika ukumbi wa Chuo cha Amali Vitongoji, (kulia) Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui,na (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Juma KassimTindwa.

No comments:

Post a Comment