TANGAZO


Saturday, April 14, 2012

Rais Kikwete amzika Jeneral Mwita Kiaro

Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka udongo kwenye kaburi la Mkuu wa Majeshi mstaafu, marehemu Jenerali Ernest Mwita Kiaro, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika nyumbani kwake Tarime, mkoani Mara leo. (Picha na Freddy Maro, Ikulu)



Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka shada la maua juu ya kaburi la Mkuu wa Majeshi mstaafu, marehemu Jenerali Ernest Mwita Kiaro, wakati wa mazishi yake huko Tarime, mkoani Mara leo.

No comments:

Post a Comment