Ndege
ya Shirika la Ndege Tanzania (ATC), aina ya Dash 8-300, iliyokuwa inatoka Kigoma
kwenda Dar es Salaam kupitia Tabora, ikiwa imeanguka jana baada ya kuteleza
kutokana na tope jingi kuwepo kwenye njia ya kurukia ya Uwanja wa Ndege wa
Kigoma. Abiria 35 na wafanyakazi wanne walinusurika kwenye ajali hiyo. (Picha kwa hisani ya blog ya jamii)
Wananchi wakiangalia ajali ya ndege ya
Shirika la Ndege Tanzania (ATC), aina ya Dash 8-300 iliyokuwa inatoka Kigoma
kwenda Dar es Salaam kupitia Tabora, ikiwa imeanguka jana baada ya kuteleza
kutokana na tope jingi kuwepo kwenye njia ya kurukia ya Uwanja wa Ndege wa
Kigoma. Abiria 35 na wafanyakazi wanne walinusurika kwenye ajali hiyo.
Hali
ilivyokuwa inaonekana ndani ya ndege baada ya ajali kutokea jana katika Uwanja
wa Ndege wa Kigoma.
Mmoja
wa abiria aliyenusurika kwenye ajali ya ndege ya ATC, akielezea jinsi
mkasa huo ulivyotokea.
No comments:
Post a Comment