Mukama alonga Sakata la Machinjio ya kisasa
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akizungumza na waandishi wa habari leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo kukanusha kuhusika na kashfa ya mradi wa machinjio ya kisasa jijini Dar es Salaam, Kama ilivyoripotiwa na gazeti moja la kila siku. (Picha na Bashir Nkoromo)
Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akifafanua jambo katika mkutano huo na Waandishi wa habari leo, jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment