TANGAZO


Monday, April 9, 2012

Maneno Oswald alipiza kisasi kwa Matumla, anyakua ngao ya Pasaka


Mabondia Maneno Osward (kushoto) na Rashidi Matumla wakioneshana
ufundi wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao wa kugombea Ngao ya
Pasaka iliyotolewa na ukumbi wa Dar Live. Maneno alishinda kwa pointi na hivyo kulipa kisasi baada ya kupigwa katika pambano leo lililotangulia. (Picha na Super D, Mnyamwezi)


Bondia wakike, Furaha Nganda (kulia), akimsukumizia masumbwi mfululizo
bondia Jamuhuri Saidi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar Live, Dar
es Salaam jana.  Nganda alishinda kwa point. 


Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Temeke, Sedoyeka Thomas na Mratibu wa
burudani katika Ukumbi wa Dar Live, Juma Mbizo wakimpatia Ngao ya
Pasaka, bondia Maneno Oswald, baada ya kumdunda Rashidi Matumla kwa
pointi Dar es salaam jana. 

No comments:

Post a Comment