Mwakilishi
wa jimbo la Mkwajuni (CCM), Mbarouk Wadi Mussa, akipitia moja ya
mswaada uliowasilishwa katika Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya
kuchangiwa na Wajumbe ili kuupitisha kuwa sheria. (Picha na Mpigapicha Wetu)
Mwakilishi Mahmoud Mohammed (Kikwajuni), akisisitiza jambo wakati akibadilioshana
mawazo na Mwakilishi Ali Juma Shamuhuna, wakiwa ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi
wakati kikao kikiendelea na michango ya Wajumbe.
Mwakilishi Nassor Mazrui , akibadilishana mawazo na Mwakilishi Juma Duni Hajji, wakiwa katika
ukumbi wa mkutano wa baraza, wakati Mwakilishi Ramadhani Abdalla Shabani,
akifuatilia vifungu vya Mswada unaochangiwa na wajumbe wa Baraza wakati kikao cha asubuhi kikiendelea.
Mwakilishi
Ismail Jussa wa jimbo la Mjimkongwe (CUF), akibadilishana mawazo na
Mwakilishi wa Rahaleo, Nassor Salim Jazira (CCM), wakati wakiwa katika
viwanja vya baraza la Wawakilishi Chukwani.
No comments:
Post a Comment