Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Coca-Cola ya 'Sababu bilioni za kuthamini Afrika' Dar es Salaam leo. Kushoto Meneja Mkazi wa Coca-Cola Tanzania, Dimeji Olaniyan. (Picha na Richard Mwaikenda)
Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi (kushoto), akimkabidhi zawadi ya dekoda, mwandishi wa Gazeti la Habari Leo, Agnes Sikaonga, wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Coca-Cola ya 'Sababu bilioni za kuthamini Afrika' Dar es Salaam leo. Katikati ni Meneja Mkazi wa Coca-Cola Tanzania, Dimeji Olaniyan.
Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi (kushoto), akimkabidhi zawadi ya dekoda, mwandishi wa habari wa Gazeti la Mwananchi, Fariji Msonsa, wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Coca-Cola ya 'sababu bilioni za kuthamini Afrika' Dar es Salaam leo. Katikati ni Meneja Mkazi wa Coca-Cola Tanzania, Dimeji Olaniyan.
Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi, akiiingiza mkono kwenye kasha kuchagua karatasi yenye jina la mshindi wa bahati nasibu iliyochezwa wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Mshereheshaji wa hafla hiyo, Kibonde.
Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi (kushoto), akimkabidhi zawadi ya Televisheni mwandishi wa habari wa Gazeti la Mwananchi, Nora Damiani, aliyeshinda bahati nasibu, wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Coca-Cola, inayojulikana 'Sababu bilioni za kuthamini Afrika', Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja Mkazi wa Coca-Cola Tanzania, Dimeji Olaniyan.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika uzinduzi wa kampeni hiyo, uliofanyika leo, Mlimani City, Dar es Salaam.
Waandishi wa habari, wakisikiliza na kuandika taarifa iliyokuwa ikitolewa kwenye hafla ya uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment