TANGAZO


Thursday, April 26, 2012

Al Ahly Shandy ya Sudan, yawasili kupambana na Simba

Wachezaji wa timu ya Al Ahly Shandy ya Sudan, wakiingia kwenye basi dogo, aina ya Toyota Coster, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam leo mchana kwa ajili ya mpambano wao na Simba ya jijini Dar es Salaam, kuwania Kombe la Shirikisho (CAF), hatua ya 16 bora, mchezo utakaofanyika jijini, Jumapili hii. (Picha na Dotto Mwaibale)

No comments:

Post a Comment