TANGAZO


Monday, March 12, 2012

Waziri Samia atembelea miradi inayofadhiliwa na TASAF Pemba

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano, Samia Suluhu Hasani, akipata maelezo juu ya ufugaji wa Nyuki kutoka kwa Katibu wa kikundi cha ushirika cha Kibokoni, Khamis Suleiman, alipotembelea kikundi hicho, kinachofadhiliwa na Mfuko wa Maedeleo ya Jamii nchini (Tasaf) Pemba. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Chake chake, Mwanajuma Majid. (Picha na Ali Meja)


  Waziri wa nnchi, Ofisi ya Makamu  wa Rais, Mungano Samia Suluhu Hasani, akipata maelezo kutoka kwa Daudi Ismail, mkazi wa Wawi juu ya Bwawa la Umwagiliaji Maji katika Mashamba ya Dobi Wawi alipofika kutembelea mradi huo ambao unafadhiliwa na mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini Tasaf alipofika kukagua Ujenzi huo. (Picha na Ali Meja)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Muungano, Samia Suhu Hassan akipata Maelezo kutoka kwa Khamis Feiz wakati akitembelea Ujenzi wa Barabara ya Ndugunkitu, Mkoroshoni inayofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini Tasaf.(Picha na Ali Meja)

No comments:

Post a Comment