TANGAZO


Tuesday, March 20, 2012

Warsha ya wadau wa mabadiliko ya Tabianchi

 Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Ladislaus Mwamanga akitoa hotuba yake kwenye ufunguzi wa warsha ya wadau wanaohusika katika kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi, Dar es Salaam, wakati akiifungua warsha hiyo leo jijini. (Picha na Mwanakombo Jumaa- Maelezo)






Baadhi ya washiriki wa warsha ya wadau wanaohusika katika kukabilina na mabadiliko ya tabianchi, wakipiga wakati wa mgeni rasmi, akitoa hotuba yake kwenye ufunguzi huo.


Mkufunzi kutoka Red Cross, Pablo Suarez, akitoa mafunzo kwa vitendo kwa wadau wa mabadiliko ya tabia nchi wakati wa warsha hiyo.






 Msimamizi wa mafunzo, Utafiti na Ushiriki, kutoka TASAF Makao Mkuu Amedeus Kamagenge akiongea katika warsha leo jijini Dar es.jpg
Wadau wanaohusika katika kukabilina na mabadiliko ya tabianchi, wakiwa pamoja na wakufunzi wa warsha hiyo katia kutekeleza mazoezi kwa vitendo.






 Wadau wanaohusika katika kukabilina na mabadiliko ya tabianchi, wakifuatilia warsha maelezo yaliyokuwa yakitolewa kwenye warsha hiyo.






 Wadau wanaohusika katika kukabilina na mabadiliko ya tabianchi, wakifanya tathmini kwa kilia mmoja, jinsi alivyoelewa mafunzo ya warsha hiyo.



 Mwakilishi wa Benki ya Dunia anayeshughulikia masuala ya Maendeleo ya Jamii, Rasmus Heltberg, akitoa ufafanuzi juu ya mabadiliko ya tabianchi na njia za kukabiliana nayo, wakati wa warsha hiyo.







Wadau wanaohusika katika kukabilina na mabadiliko ya tabianchi, wakiwa katika majadiliano kuhusu njia za kukabiliana na mabadiliko hayo.

No comments:

Post a Comment