Kaimu Balozi wa India nchini, Hemalatha Burgimath, akimkabidhi nyaraka za kusafiria, Neema Msita, mmoja wa Mofisa michezo 5, wanaokwenda nchini India, kujifunza program mbalimbali za michezo. Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika viwanja vya ubalozi wa India jijini Dar es Salaam. Katikati anayeshuhudia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo, Juliana Yasoda. (Picha na Aron Msigwa –MAELEZO)
Kaimu Balozi wa India nchini Tanzania, Hemalatha Burgimath, akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Michezo na Maofisa michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo mara baada ya hafla fupi ya kuwakabidhi nyaraka za kusafiria kwenda nchini India Maofisa Michezo 5, kutoka Mikoa mbalimbali nchini leo.
No comments:
Post a Comment